kwamama 6

Mwamini na fedha zake

SEHEMU YA KWANZA Wiki zilizopita, mtu mmoja alinisogelea na kuniambia “ Mimi ni  mukristo mpya, sijui Mungu anataka nifanye nini kuhusu fedha. Naweza je kulipa deni? Unaweza kufundisha kuhusu mada hii? Huyu ni mmoja mwa watu…

Mungu wa ghafla 

Isaya 48:3 “Nilitoa unabii mambo ya kwanza tangu zamani, kinywa changu kiliyatangaza na kuyafanya yajulikane; kisha ghafula nikayatenda, nayo yakatokea.”  Umekabiliana na matatizo sawa miaka nenda rudi bila mabadiliko. Unaweza…