HABARI MPYA

Anne Rwigara agombana na mwendeshaji wa mnada wa mali ya familia yake

Binti Assinapol Rwigara, Anne Rwigara Uwamahoro kwa kumuambia maneno makali mwendeshaji wa mnada,Me Vedaste Habimana.

Kwa niaba ya familia yake,Anne Rwigara jana baada ya mnada  ametangazia Sauti ya Marekani kuwa bei ya frw miliyoni 521 ni duni mno na kupendekeza wangeliwalipa kama biliyoni moja.

“Sisi kama wenyeji wa kiwanda,wenye mali hatukubali mnada huu,haina budi kukomeshwa”

Mwendeshamnada Me Habimana ameshauri hii familia kushtaki mahakamani kama hawakubali lakini Anne Rwigara akamkata kwa kusema kwamba walishashtaki mahakamani.

Hauna aibu,unaniambia kuenda mahakamani,kesi yetu ilifika mahakamani,nimeisha wajulisha suala langu” amesema

Mali hii imeuzwa mnada juu ya mshtaka kwamba familia ya Rwigara ilikwepa kulipa kodi sawa na frw biliyoni 5

Kwa upande wa familia ya Rwigara walikanusha haya  madai kwa kusema kuwa ni mambo husika na siasa.

Isisahaulike kwamba Nduguye Diane Rwigara aliyewania ugombea wa urais na mama mzazi wao walifungwa jela kwa kushtakiwa uchochezi,kugawa watu na mengine.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top