kwamamaza 7

Aliyewahi kuwa mlinzi wa Rais Kagame auawa Afrika Kusini

0

Camir Nkurunziza ambaye aliwahi kuwa mlinzi wa Rais Kagame aliuawa usiku jana mjini Cape, Afrika Kusini.

Magazeti nchini Afrika Kusini yametangaza Camir alitekwa nyara alipokuwa garini mwake.

Upande mwingie, Makamu Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe amesema Nkurunziza alikuwa mwizi na amepigwa risasi kwa kujaribu kupamabana na polisi.

Nkurunziza, Nduhungirehe amesema, ni mwanachama wa RNC cha Jen. Kayumba Nyamwasa.

Malehemu alikuwa akiishi kama mkimbizi miaka 8 iliyopita.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.