kwamamaza 7

Aliyekuwa Balozi wa Rwanda katika YUNA aljiunga na wapinzani tangu 2016

0

Aliyekuwa Balozi wa Rwanda katika Umoja wa Mataifa (YUNA), Gasana Eugene alijiunga na wapinzani wa Rwanda tangu mwaka 2016.

Balozi Gasana aligoma kurudi nchini Rwanda mwaka 2016 alipoitwa kurudi mjini Kigali.

Chombo cha habari Virunga Post kimetangaza Gasana aliwaunga mkono kundi la Kayumba Nyamwasa, Rwanda National Congress (RNC).

Baada ya mwaka huu, alianza kutembea dunia nzima kwa misheni ya kusambaza propaganda za chama chake.  Kuna taarifa kwamba anatumia vitambulisho kutoka Uganda.

Pamoja na hayo, Virunga Post imeweka wazi kuna viongozi waliokuwa wakifanya kazi nchini Rwanda lakini wakiwa watu wa Rais Museveni kama vile malehemu, Patrick Karegeya, ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi na Kayumba Nyamwasa aliyekuwa Balozi wa Rwanda nchini Uhindi.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.