Demetrius Shipp Jr, Mwigizaji wa Filamu, aliyeigiza kwa jina la 2Pac katika filamu ya biografia yake, yatangaza kwamba hatarudia kuigiza tabia aliyoigiza katika filamu nyingine kwa ajili ya kumheshimu 2 Pac.

Muigizaji huu katika filamu ya “ All Eyez On Me” alipoulizwa ikiwa ataigiza katika filamu nyingine kwa jina la 2Pac alithibitisha kwamba uigizaji wake kwa jina la 2Pac umekomea hapa.

Kwa mjibu wa TMZ,aliulizwa hili kulingana na wenzake ambao waiigiza katika filamu kwa ajili wa watu mashuhuri na wakaendelea na jina hilo. Mfano wa karibu ni wa Jamal Woolard aliyeigiza katika filamu tatu kwa jina la Notorious B.I.G.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wangu sitaigiza tena tabia ya 2Pac kama wenzangu walifanya wakiigiza tabia za watu maalum katika filamu tofauti.

Alipoulizwa kuhusu miradi yake ya baadaye alisema kwamba ana mipango mingi na filamu hii ni mwanzo wake tu.

Aidha Wachambuzi wa mambo ya filamu wanasema kwamba iwapo ladha ya fedha za uigizaji zitamvutia ataigiza pia kwa jina la 2Pac.

Mume huyu, Demetrius Shipp Jr, aliyezaliwa tarehe 20 Octoba 1998, ni muigizaji wa filamu nchini Marekani. Tangu utoto wake aliambiwa kuwa anafanana sana na 2 Pac, muigizaji huu aliigiza katika filamu ya biografia ya 2Pac inayoitwa Biopic All Eyez On me mwaka wa 2017, babake alishirikiana kwa karibu na 2Pac katika mradi wa Albamu ya The Dom Killuminati.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.