BURURUDANI

Ali Kiba kufunga ndoa wiki hii

Kuna taarifa kuwa muimbaji mahiri nchini Tanzaniya,Ali Kiba atafunga ndoa na mrembo kutoka nchini Kenya kwa jina la Amina asili ya Kenya.

Ali Saleh Kiba maarufu kama Ali Kiba, 32, inatarajika kufunga na mrembo kutoka Mombasa kama inavyotangazwa na Bongo5.

Taarifa hizi zilienea baada ya Nduguye,Abdu Kiba kutumbua jibu wiki iliyopita alipokuwa katika mahojiano na chombo cha habari kimoja nchini Kenya.

Pamoja na hili ina  inafahamika kuwa Alikiba amekuwa akienda mara kwa mara Mombasa kutokana na kuwa na ukaribu na Gavana wa mji huko, Joho.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top