HABARI

Ajali ya ndege imepituwa zaidi ya watu 32 Uturuki-PICHA

Leo asubui tarehe 16 Januari 2017, ndege ya aina ya  Boeing 747 TC-MCL ya Uturuki imefanya ajali na watu zaidi ya 32 wakapoteza maisha.

avio1

Ndege hio ilikua ikitoka Hong Kong ikielekeza Uturuki ndipo ikafanya ajali na kuanguka katika mji wa Kyrgyzstan karibu kilometa 15 kutoka mwanzo kama vile husema bbc.

avio2

Ndege hio pia iliangukia gorofa karibu 15, na watu 32 wakafariki.

avio4avio3

Mpaka sasa hawaja eleza lolote kuhusu chanzo cha ajali hii kabla ya miaka 14 kutengenezwa kwa ndege hio, ila huwazia wingi wa wingu hewani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top