kwamamaza 7

Afurika Kusini yakabiliana na shinikizo juu ya kifo cha Kiongozi wa Upelelezi wa Rwanda

0

Uendesha mashtaka nchini Afurika  Kusini (NPA) unakabiliana na shinikizo kutokana na kifo cha aliyekuwa  Kiongozi wa Upelelezi nchini Rwanda, Kanuni Patrick Karegeya mwishoni mwa mwaka 2013.

Siku chache zilizopita, mahakama mjini Randburg iliamua watuhumiwa wa haya mauaji wanajuliakana na kusema NPA itaamua kama itatoa hati za kuwakamata watuhumiwa.

Chombo cha habari eNCA kimetangaza familia ya malehemu itatumia uendesha mashtaka binafasi wakati ambapo NPA itasita kutekeleza hili jambo.

Kwa sasa, familia hii imeanza kupatana na waendesha mashtaka wa Afrifom ili kuongeza shinikizo kwa NPA.

Kwa sasa miaka nenda rudi imepita kesi hii ikiwa mahakamani. Watu husika husema hili ni kwa kuwa kuna sababu

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.