KIMATAIFA

Afrika kusini yamteua Rais Mpya

Bunge la Afrika kusini limemteua aliyekuwa Makamu mkuu wa Rais,Cyril Ramaphosa baada ya Rais Jacob Zuma kujiuzulu.

Zuma alikuwa akikabiliwa na tuhuma nyingi, moja ikiwa ni kumhusisha na vitendo vya rushwa japokuwa mwenyewe amekanusha kuhusishwa na tuhuma hizo.

Kutokana na hilo bunge lilipiga kura ya kutokuwa na imani naye na baadaye chama tawala ANC kikamlazimisha kuachia madaraka kwa hiari.

Rais Cyri Ramaphosa ameahidi kuyeleta mabadiliko ya kuchumi nchini Afrika Kusini.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top