kwamamaza 7

Adhabu ya kufungwa maisha jela yaweza kukomesha uuzaji wa madawa ya kulevya-Waziri Kaboneka

0

Waziri wa utawala wa nchi,Francis Kaboneka amesema kwamba adhabu ya kufungwa maisha jela inaweza kukomesha uuzaji wa madawa ya kulevya

Waziri huyu amewataka wabunge kupitisha sheria husika na kuwafunga maisha jela wahalifu wa uchuuzi wa madawa ya kulevya.

Hakuna umuhimu wa kufunga mucuuzi wa madawa ya kulevya miaka miwili tu,kisha akachiwa huru,napendekeza kumfunga maisha jela”Waziri Kaboneka.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine,Waziri Kaboneka amesema kuwa serikali ingali tayari kufanya lolote kwa kulinda usalama wa nchi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,makala ya 594 ya sheria za kuadhibu za nchi yanasema kuwa wauzaji wa madawa ya kulevya kuadhibiwa kufungwa miaka 3  hadi 5 na faini ya frw 500,000 hadi miliyoni  frw500.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.