kwamamaza 7

RwandAir yahirisha ghafla safari ya kuelekea London

0

Kampuni ya safari za ndege nchini Rwanda (RwandAir) imetangaza jumamosi kuahirisha safari yake kuelekea Mjini London, Wingereza.

Kupitia ukurasa wa Twitter wake wamesema kumejitokeza tatizo la ndege ambalo halikuelezwa kinagaubaga.

“ Tunasikitika kuwambia kwamba safari WB700 kuelekea London  imeahirishwa. Safari ya kurudi pia, imeahirishwa. Waathirika watarudishiwa fedha zao ama wapate safari ya ndege ijayo.”

Ni nadra, kampuni hii kuahirisha safari. Ilitokea mwaka 2009 ambako kulikuwepo maandamano kwenye uwanja wa ndege JKIA Mjini Nairobi,  Kenya.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.