kwamamaza 7

Je, Uganda ilipinga kumkamata mjomba wa Diane Rwigara?

0

Siku chache zilizopita, muimbaji na mwanasiasa Ben Rutabana alitembelea nchini Uganda kama ilivyotangazwa na Greatlakes watchman.

Hiki chombo kilileleza huyu mjomba wa aliyewahi kujaribu kuwania urais nchini Rwanda, Diane Rwigara ni mmoja mwa wanaotafutwa na mahakama za nchini Rwanda.

Hizi taarifa zinaeleza serikali ya Uganda ilikuwa inajua huyu anatafutwa na  mahakama lakini haikumkamata.

Hata hivyo, hiki chombo  hakikutaja huyu Ben Rutabana anashtakiwa nini nchini Rwanda.

Hizi taarifa zilifichua huyu alikuwa nchini Uganda kuunganisha  operesheni za chama cha upinzani kwa Rwanda, Rwanda National Congres cha Jen. Kayumba Nyamwasa.

Kwa upande mwingine, Ben Rutabana alikanusha haya madai kwa kusema alikuwa anatembea nchini Uganda kwa ajili ya ufanyabiashara.

Mala nyingi Rwanda ilisikika ikidai Uganda inawahudhumia wapinzani wake. Uganda hukanusha haya madai kwa kusema hawa wote wanakuwa huko katika shughuli zao za kibiashara.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.