HABARI

Rwanda kutuma wanajeshi wengine nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

Viongozi wa jeshi la Rwanda wametangaza kuwa wanajianda kutuma wanajeshi 140 wengine kwenye amri ya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati(MINUSCA) ili kuongeza uwezo wa kulinda usalama.

Wanajeshi hawa wa kundi kwa jina la Motorised Infantry Company wanatarajia kufika Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 26 Septemba 2017.

Vifaa na mahitaji mengine ya wanajeshi hawa  yalianza kupelekwa Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 16 mwezi huu.

Hawa watatia mkazo wa usalama wa mji wa Bangui kulingana na amri ya Umoja wa Mataifa.

Wanajeshi hawa watajiunga na wenzao wanaomaliza miezi minne.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top